Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zuar
Hesabu 1 : 8
8 Wa Isakari; Nethaneli mwana wa Suari.
Hesabu 2 : 5
5 Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Isakari; na mkuu wa wana wa Isakari atakuwa Nethaneli mwana wa Suari;
Hesabu 7 : 18
18 Siku ya pili Nethaneli mwana wa Suari, mkuu wa Isakari, alitoa;
Hesabu 7 : 23
23 na kwa dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Nethaneli mwana wa Suari.
Hesabu 10 : 15
15 Na juu ya jeshi la kabila la wana wa Isakari alikuwa Nethaneli mwana wa Suari.
Leave a Reply