Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zora
Yoshua 15 : 33
33 Katika nchi ya Shefela, Eshtaoli, Sora, Ashna,
Yoshua 19 : 41
41 ⑲ Na mpaka wa urithi wao ulikuwa ni Sora, Eshtaoli, Irishemeshi;
Waamuzi 13 : 2
2 ⑳ Palikuwa na mtu mmoja wa Sora, wa jamaa ya Wadani; jina lake akiitwa Manoa; na mkewe alikuwa tasa, hakuzaa watoto.
Waamuzi 13 : 25
25 Roho ya BWANA ikaanza kumtaharakisha katika Mahane-dani, katikati ya Sora na Eshtaoli.
Waamuzi 16 : 31
31 Ndipo ndugu zake, na watu wote wa nyumba ya baba yake wakateremka, wakamtwaa wakamchukua, wakamzika kati ya Sora na Eshtaoli, katika kiwanja cha kuzikia cha Manoa baba yake. Naye alikuwa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka ishirini.
2 Mambo ya Nyakati 11 : 10
10 Sora, Aiyaloni, na Hebroni, iliyoko katika Yuda na Benyamini, miji yenye maboma.
Nehemia 11 : 29
29 na katika Enrimoni, na Sora, na Yarmuthi;
Leave a Reply