Biblia inasema nini kuhusu Zoan – Mistari yote ya Biblia kuhusu Zoan

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zoan

Hesabu 13 : 22
22 ⑱ Wakapanda katika Negebu, wakafika Hebroni; na Ahimani, na Sheshai, na Talmai, wana wa Anaki, walikuwako huko. Nao Hebroni ulijengwa miaka saba kabla ya Soani wa Misri.

Ezekieli 30 : 14
14 ⑮ Nami nitaifanya Pathrosi kuwa ukiwa, nami nitatia moto katika Soani, nami nitatekeleza hukumu katika No.

Isaya 19 : 11
11 Wakuu wa Soani wamekuwa wapumbavu kabisa; washauri wenye hekima wa Farao, ushauri wao umepumbazika; mwawezaje kumwambia Farao, Mimi ni mwana wa wenye hekima, ni mwana wa wafalme wa zamani?

Isaya 19 : 13
13 ③ Wakuu wa Soani wamekuwa wapumbavu, wakuu wa Nofu wamedanganyika; na hao walio mawe ya pembeni ya kabila zake wameipotosha Misri.

Isaya 30 : 4
4 Kwa maana wakuu wake wako Soani, na wajumbe wake wamefika Hanesi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *