Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zifu
Yoshua 15 : 24
24 Zifu, Telemu, Bealothi;
Yoshua 15 : 55
55 Maoni, Karmeli, Zifu, Yuta;
1 Samweli 23 : 15
15 Daudi akaona ya kwamba Sauli ametoka nje ili kutafuta roho yake; naye Daudi akawako katika nyika ya Zifu, huko Horeshi.
1 Samweli 23 : 24
24 ⑰ Nao wakaondoka, wakaenda Zifu kumtangulia Sauli; lakini Daudi na watu wake walikuwapo nyikani pa Maoni, katika Araba upande wa kusini mwa jangwa.
1 Samweli 26 : 2
2 Basi Sauli akaondoka, akashuka nyikani kwa Zifu, naye alikuwa na watu elfu tatu, wateule wa Israeli, pamoja naye, ili kumtafuta Daudi katika nyika ya Zifu.
2 Mambo ya Nyakati 11 : 8
8 Gathi, Maresha, Zifu,
1 Mambo ya Nyakati 2 : 42
42 Na wana wa Kalebu, nduguye Yerameeli, walikuwa Mesha, mzaliwa wake wa kwanza, aliyekuwa babaye Zifu; na wana wa Maresha, babaye Hebroni.
1 Mambo ya Nyakati 4 : 16
16 Na wana wa Yehaleleli; Zifu, na Zifa, na Tiria, na Asareli.
Leave a Reply