Biblia inasema nini kuhusu Ziba – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ziba

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ziba

2 Samweli 9 : 13
13 ⑳ Basi Mefiboshethi akakaa Yerusalemu; maana alikuwa akila chakula siku zote mezani pa mfalme; naye alikuwa na kilema cha miguu yote miwili.

2 Samweli 16 : 4
4 Ndipo mfalme akamwambia Siba, Tazama, yote yaliyokuwa ni mali ya Mefiboshethi ni yako. Siba akasema, Mimi ninasujudu; na nione kibali machoni pako, Ee bwana wangu, mfalme.

2 Samweli 19 : 17
17 Na Watu elfu moja wa Benyamini walikuwa pamoja naye, na huyo Siba mtumishi wa nyumba ya Sauli, na hao wanawe kumi na watano, na watumishi wake ishirini pamoja naye; wakavuka Yordani mbele ya mfalme.

2 Samweli 19 : 29
29 ① Basi mfalme akamwambia, Kwa nini unazidi kuyanena mambo yako? Mimi naamua, Wewe na Siba mwigawanye hiyo nchi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *