Biblia inasema nini kuhusu Zarah – Mistari yote ya Biblia kuhusu Zarah

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zarah

Mwanzo 38 : 30
30 Akatoka ndugu yake baadaye, ana uzi mwekundu mkononi mwake; naye akaitwa jina lake Zera.[20]

Mwanzo 46 : 12
12 Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.

Hesabu 26 : 20
20 Na wana wa Yuda kwa jamaa zao; wa Shela, jamaa ya Washela; wa Peresi, jamaa ya Waperesi; wa Zera, jamaa ya Wazera.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 4
4 ④ Na Tamari, mkwewe, akamzalia Peresi, na Zera. Wana wote wa Yuda ni watano.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 6
6 ⑥ Na wana wa Zera; Zabdi, na Ethani, na Hemani, na Kalkoli, na Darda; hao wote ni watano.

Nehemia 11 : 24
24 ③ Na Pethahia, mwana wa Meshezabeli, wa wana wa Zera, mwana wa Yuda, alikuwa wakili wa mfalme kwa habari ya mambo yote ya watu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *