Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zabad
1 Mambo ya Nyakati 2 : 37
37 na Zabadi akamzaa Eflali; na Eflali akamzaa Obedi;
1 Mambo ya Nyakati 7 : 21
21 na mwanawe huyo ni Zabadi, na mwanawe huyo ni Shuthela; na Ezeri na Ekadi, ambao watu wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua, kwa sababu walishuka ili kuwapokonya ng’ombe wao.
1 Mambo ya Nyakati 11 : 41
41 ⑱ Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai;
2 Mambo ya Nyakati 24 : 26
26 Na hawa ndio waliomfanyia fitina, Zabadi mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni, na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabi.
2 Mambo ya Nyakati 25 : 4
4 Lakini watoto wao hakuwaua, ila alifanya kulingana na hayo yaliyoandikwa katika Torati, katika kitabu cha Musa, kama BWANA alivyoamuru, akisema, Wazazi wasiuawe kwa ajili ya dhambi ya watoto wao wala watoto wasiuawe kwa ajili ya dhambi ya wazazi; lakini kila mtu atakufa kwa dhambi yake mwenyewe.
2 Wafalme 12 : 21
21 Kwa maana Yozakari mwana wa Shimeathi, na Yehozabadi mwana wa Shomeri, watumishi wake, wakampiga, naye akafa; wakamzika pamoja na babaze mjini mwa Daudi. Na Amazia mwanawe akatawala mahali pake.
Ezra 10 : 27
27 ⑱ Na wa wazawa wa Zatu; Elioenai, na Eliashibu, na Matania, na Yeremothi, na Zabadi, na Aziza.
Ezra 10 : 33
33 Na wa wazawa wa Hashumu; Matenai, na Matata, na Zabadi, na Elifeleti, na Yeremai, na Manase, na Shimei.
Ezra 10 : 43
43 ⑳ Na wa wazawa wa Nebo; Yeieli, na Matithia, na Zabadi, na Zebina, na Ido, na Yoeli, na Benaya.
Leave a Reply