Biblia inasema nini kuhusu Yudea – Mistari yote ya Biblia kuhusu Yudea

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Yudea

Mathayo 4 : 25
25 Na makutano mengi wakamfuata, kutoka Galilaya, na Dekapoli, na Yerusalemu, na Yudea, na ng’ambo ya Yordani.

Luka 5 : 17
17 ⑥ Ikawa siku zile mojawapo alikuwa akifundisha, na Mafarisayo na waalimu wa torati walikuwa wameketi hapo, waliotoka katika kila kijiji cha Galilaya, na Yudea, na Yerusalemu; na uweza wa Bwana ulikuwapo apate kuponya.

Yohana 4 : 47
47 Huyo aliposikia ya kwamba Yesu amekuja kutoka Yudea mpaka Galilaya, alimwendea, akamsihi ashuke na kumponya mwanawe; kwa maana alikuwa karibu kufa.

Yohana 4 : 54
54 Hiyo ni ishara ya pili aliyoifanya Yesu, alipokuwa ametoka Yudea kwenda Galilaya.

Luka 1 : 5
5 Zamani za Herode, mfalme wa Yudea, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa kikundi cha ukuhani cha Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

Mathayo 19 : 1
1 ⑭ Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika katika eneo la Yudea, ng’ambo ya Yordani.⑮

Marko 10 : 1
1 ③ Akaondoka huko akafika katika eneo la Yudea, na ng’ambo ya Yordani; makutano mengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.④

Luka 23 : 5
5 Nao walisisitiza sana, wakisema, Huwataharakisha watu, akifundisha katika Yudea yote, tokea Galilaya mpaka huku.

Yoshua 15 : 6
6 na huo mpaka ukaendelea hadi Beth-hogla, kisha ukaendelea upande wa kaskazini wa Beth-araba; kisha mpaka ukaendelea hadi jiwe la Bohani mwana wa Reubeni;

Yoshua 15 : 61
61 Huko nyikani, Beth-araba, na Midini, na Sekaka;

Yoshua 18 : 22
22 na Bethiaraba, na Semaraimu, na Betheli;

Mathayo 3 : 1
1 ② Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Yudea, na kusema,③

Luka 3 : 3
3 Akafika katika nchi yote iliyo karibu na Yordani, akihubiri ubatizo wa toba iletayo ondoleo la dhambi,

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *