Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Yeremothi
1 Mambo ya Nyakati 8 : 14
14 Na Ahio, na Ghashaki, na Yeremothi;
Ezra 10 : 26
26 Na wa wazawa wa Elamu; Matania, na Zekaria, na Yehieli, na Abdi, na Yeremothi, na Eliya.
Ezra 10 : 27
27 โฑ Na wa wazawa wa Zatu; Elioenai, na Eliashibu, na Matania, na Yeremothi, na Zabadi, na Aziza.
Leave a Reply