Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia wizi
Yeremia 23 : 30
30 ⑭ Basi kwa sababu hiyo mimi niko juu ya manabii hao, asema BWANA, wanaompokonya kila mtu jirani yake maneno yangu.
Kutoka 20 : 15
15 Usiibe.
Kutoka 20 : 17
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala chochote alicho nacho jirani yako.
Kutoka 20 : 16
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
Leave a Reply