Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Willow
Mambo ya Walawi 23 : 40
40 Nanyi siku ya kwanza mtajipatia matunda ya miti mizuri, na makuti ya mitende, na matawi ya miti minene, na mierebi ya vijitoni; nanyi mtafurahi mbele za BWANA, Mungu wenu, muda wa siku saba.
Zaburi 137 : 2
2 Katika miti iliyo katikati yake Tulivitundika vinubi vyetu.
Ezekieli 17 : 5
5 Akatwaa tena mbegu katika mbegu za nchi hiyo, akaipanda katika udongo uzaao sana, akaiweka kando ya maji mengi; aliipandikiza kama mti ukuao karibu na mto.
Isaya 44 : 4
4 nao watachipua kama nyasi, kama mierebi kandokando mwa vijito.
Leave a Reply