Biblia inasema nini kuhusu Weka alama – Mistari yote ya Biblia kuhusu Weka alama

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Weka alama

Wakolosai 4 : 10
10 ⑪ Aristarko, aliyefungwa pamoja nami, awasalimu; pamoja na Marko, binamu yake Barnaba, ambaye mmepokea maagizo juu yake; akifika kwenu mkaribisheni.

Matendo 12 : 12
12 Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba.

Matendo 12 : 25
25 ① Na Barnaba na Sauli, walipokwisha kutimiza huduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemu, wakamchukua pamoja nao Yohana aitwaye Marko.

Matendo 13 : 5
5 ⑥ Na walipokuwa katika Salami wakalihubiri neno la Mungu katika masinagogi ya Wayahudi, nao walikuwa naye Yohana kuwa mtumishi wao.

Matendo 13 : 13
13 ⑪ Kisha Paulo na wenziwe wakang’oa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perge katika Pamfilia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemu.

Matendo 15 : 39
39 Basi palitokea mashindano baina yao hata wakatengana. Barnaba akamchukua Marko akaabiri kwenda Kipro.

1 Petro 5 : 13
13 Mwenzenu mteule hapa Babeli awasalimu, na Marko mwanangu.

Wakolosai 4 : 11
11 Na Yesu[1] aitwaye Yusto awasalimu. Hao tu ndio watu wa tohara miongoni mwa wale watendao kazi pamoja nami kwa ajili ya ufalme wa Mungu; nao wamekuwa msaada kwangu.

2 Timotheo 4 : 11
11 Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana anifaa kwa utumishi.

Filemoni 1 : 24
24 na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *