Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Wavu
Kutoka 27 : 5
5 Nawe tia huo wavu chini ya kizingo kiizungukacho madhabahu upande wa chini, ili huo wavu ufikie katikati ya hiyo madhabahu.
Kutoka 38 : 5
5 Naye akasubu vikuku vinne kwa kutiwa katika pembe nne za huo wavu wa shaba, viwe mahali pa kutia ile miti ya kuichukulia.
Leave a Reply