Biblia inasema nini kuhusu wauaji – Mistari yote ya Biblia kuhusu wauaji

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia wauaji

Ufunuo 21 : 8
8 ⑥ Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *