Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia watu wenye kuudhi
Waefeso 4 : 1 – 3
1 Kwa hiyo nawasihi, mimi niliye mfungwa katika Bwana, mwende kama inavyoustahili wito wenu mlioitiwa;
2 kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo;
3 na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Mathayo 5 : 40
40 Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia.
Leave a Reply