Biblia inasema nini kuhusu Vitongoji – Mistari yote ya Biblia kuhusu Vitongoji

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Vitongoji

Hesabu 35 : 5
5 Nanyi mtapima hapo nje ya mji upande wa mashariki dhiraa elfu mbili, na upande wa kusini dhiraa elfu mbili, na upande wa magharibi dhiraa elfu mbili, na upande wa kaskazini dhiraa elfu mbili, huo mji ulio katikati. Hayo ndiyo yatakayokuwa kwao malisho ya miji.

Yoshua 14 : 4
4 ⑬ Kwa kuwa wana wa Yusufu walikuwa makabila mawili, Manase na Efraimu; nao hawakuwapa Walawi sehemu katika hiyo nchi, isipokuwa waliwapa miji wapate kuikaa, pamoja na viunga vyake kwa ajili ya mifugo wao, na kwa ajili ya riziki zao.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *