Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Vita
Kumbukumbu la Torati 22 : 8
8 Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kandokando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya nyumba yako, mtu akianguka huko.
Yeremia 5 : 10
10 ⑳ Pandeni juu ya kuta zake mkaharibu, lakini msiharibu kabisa; ondoeni matawi yake; kwa maana si yake BWANA.
Leave a Reply