Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Vipofu
Mambo ya Walawi 19 : 14
14 ⑱ Usimlaani kiziwi, wala usitie kwazo mbele ya kipofu, bali umche Mungu wako; Mimi ndimi BWANA.
Kumbukumbu la Torati 27 : 18
18 ⑪ Na alaaniwe ampotezaye kipofu akakosa njia. Na watu wote waseme, Amina.
Leave a Reply