Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Uza
2 Samweli 6 : 3
3 ⑬ Wakaliweka sanduku la Mungu juu ya gari jipya, wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu, iliyoko kilimani; nao Uza na Ahio wana wa Abinadabu wakaliendesha lile gari jipya.
1 Mambo ya Nyakati 13 : 7
7 Wakalipandisha sanduku la Mungu juu ya gari jipya kutoka nyumba ya Abinadabu; na Uza na Ahio wakaliendesha lile gari.
2 Samweli 6 : 8
8 Daudi akaona uchungu kwa kuwa BWANA amemfurikia Uza; akapaita mahali pale Peres-uza[7] hata leo.
Leave a Reply