Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ushirikiano
1 Wakorintho 3 : 7
7 Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye.
1 Wakorintho 3 : 9
9 โฑ Maana sisi tu wafanya kazi pamoja na Mungu; ninyi ni shamba la Mungu, ni jengo la Mungu.
2 Wakorintho 6 : 1
1 โข Nasi tukitenda kazi pamoja naye twawasihi msiipokee neema ya Mungu bure.
Leave a Reply