Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia ukatili wa nyumbani
Wakolosai 3 : 19
19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.
1 Petro 3 : 7
7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili maombi yenu yasizuiliwe na chochote.
Waefeso 6 : 4
4 ② Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maagizo ya Bwana.
Leave a Reply