Biblia inasema nini kuhusu uhai wa binadamu – Mistari yote ya Biblia kuhusu uhai wa binadamu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia uhai wa binadamu

Mathayo 24 : 13
13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.

Luka 21 : 34 – 36
34 Basi, jihadharini, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafla, kama mtego unasavyo;
35 kwa kuwa ndivyo itakavyowajia watu wote wakaao juu ya uso wa dunia nzima.
36 ① Basi, kesheni ninyi kila wakati, mkiomba, ili mpate kuokoka katika haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele za Mwana wa Adamu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *