Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tuzo
1 Wakorintho 9 : 24
24 ⑳ Je! Hamjui, ya kuwa wale washindanao kwa kupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeaye tuzo ni mmoja? Pigeni mbio namna hiyo, ili mpate.
Wafilipi 3 : 14
14 nakaza mwendo, niifikie tuzo la thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu.
Leave a Reply