Biblia inasema nini kuhusu Tumor – Mistari yote ya Biblia kuhusu Tumor

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tumor

1 Samweli 5 : 6
6 Lakini mkono wa BWANA ulikuwa mzito juu ya watu wa Ashdodi, akawaangamiza, akawapiga kwa majipu, huko Ashdodi na mipakani mwake.

1 Samweli 5 : 9
9 Ikawa, walipolihamisha, mkono wa BWANA ulikuwa juu ya mji huo, kwa kuwafadhaisha sana; akawapiga watu wa mjini, wadogo kwa wakubwa, wakapatwa na majipu.

1 Samweli 5 : 12
12 Na wale wasiokufa walipigwa kwa yale majipu; na kilio cha mji kikafika mbinguni.

1 Samweli 6 : 5
5 ④ Kwa hiyo mtafanya sanamu za majipu yenu, na sanamu za panya wenu wanaoiharibu nchi; nanyi mtamtukuza huyo Mungu wa Israeli; huenda ataupunguza uzito wa mkono wake juu yenu, na juu ya miungu yenu, na juu ya nchi yenu.

1 Samweli 6 : 11
11 kisha wakaliweka sanduku la BWANA juu ya gari, pamoja na kasha lenye panya wa dhahabu na sanamu za majipu yao.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *