Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Trance
Hesabu 24 : 4
4 ⑮ Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu, Yeye aonaye maono ya Mwenyezi, Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho;
Hesabu 24 : 16
16 Asema, yeye asikiaye maneno ya Mungu, Na kuyajua maarifa yake Aliye Juu.[38] Yeye aonaye maono ya Mwenyezi, Akianguka kifudifudi, amefumbuliwa macho,
Matendo 10 : 10
10 akaumwa na njaa sana, akataka kula; lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia,
Matendo 22 : 17
17 ⑭ Ikawa nilipokwisha kurudi Yerusalemu, nilipokuwa nikisali ndani ya hekalu, nikawa katika hali ya kuzimia roho,
Leave a Reply