Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tow
Waamuzi 16 : 9
9 ⑫ Na yule mwanamke alikuwa na watu katika chumba cha ndani, wakimwotea. Basi akamwambia Samsoni, Wafilisti wanakujia. Ndipo akazikata zile kamba kama vile uzi wa pamba ukatwavyo ukiguswa na moto. Basi hiyo asili ya nguvu zake haikujulikana.
Leave a Reply