Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Timna
Mwanzo 36 : 12
12 Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.
Mwanzo 36 : 22
22 Na wana wa Lotani, ni Hori, na Hemamu; na dada yake Lotani ni Timna.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 39
39 Na wana wa Lotani; Hori, na Hemamu; na Timna ni dada yake Lotani.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 36
36 Wana wa Elifazi; Temani, na Omari, na Sefo, na Gatamu, na Kenazi, na, kwa Timna, Amaleki.
Leave a Reply