Biblia inasema nini kuhusu Tendo – Mistari yote ya Biblia kuhusu Tendo

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tendo

Yeremia 32 : 12
12 na ile hati ya kununua nikampa Baruku, mwana wa Neria, mwana wa Maaseya, mbele ya uso wa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, na mbele ya mashahidi wale walioitia sahihi hati ya kununua, mbele ya Wayahudi wote walioketi katika ukumbi wa walinzi.

Yeremia 32 : 14
14 BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Twaa hati hizi, hati hii ya kununua, hati hii iliyopigwa mhuri, na hii iliyo wazi pia, ukazitie katika chombo cha udongo, zipate kukaa siku nyingi.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *