Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia tasa
1 Timotheo 2 : 15
15 Lakini ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakidumu katika imani na upendo na utakaso, pamoja na moyo wa kiasi.
Mwanzo 25 : 21
21 Isaka akamwomba BWANA kwa ajili ya mke wake, maana alikuwa tasa. Naye BWANA akamwitikia, na Rebeka mkewe akachukua mimba.
Leave a Reply