Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tapua
Yoshua 12 : 17
17 mfalme wa Tapua, mmoja; na mfalme wa Heferi, mmoja;
Yoshua 15 : 34
34 Zanoa, Enganimu, Tapua, Enamu;
Yoshua 16 : 8
8 ⑱ Kutoka hapo Tapua mpaka ukaendelea upande wa magharibi hadi kijito cha Kana; na mwisho wake ulikuwa baharini. Huo ndio urithi wa hao wana wa Efraimu kwa kufuata jamaa zao;
Yoshua 17 : 8
8 Hiyo nchi ya Tapua ilikuwa ni mali ya Manase; lakini ule mji wa Tapua uliokuwa katika mpaka wa Manase ulikuwa ni mali ya wana wa Efraimu.
1 Mambo ya Nyakati 2 : 43
43 Na wana wa Hebroni; Kora, na Tapua, na Rekemu, na Shema.
Leave a Reply