Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia taji
Yakobo 1 : 12
12 Heri mtu astahimiliye majaribu; kwa sababu akiisha kukubaliwa ataipokea taji la uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.
1 Petro 5 : 4
4 โฎ Na Mchungaji mkuu atakapodhihirishwa, mtalipokea taji la utukufu, lile lisilokauka.
Ufunuo 3 : 11
11 โฒ Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako.
Isaya 62 : 3
3 Nawe utakuwa taji la uzuri katika mkono wa BWANA, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Leave a Reply