Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tairi
Isaya 3 : 18
18 Siku hiyo BWANA atawaondolea uzuri wa njuga zao, na kaya zao;
Ezekieli 24 : 17
17 ⑦ Piga kite lakini si kwa sauti ya kusikiwa; usifanye matanga kwa ajili yake yeye aliyekufa; jipige kilemba chako, ukavae viatu vyako, wala usiifunike midomo yako, wala usile chakula cha watu.
Leave a Reply