Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Tahan
Hesabu 26 : 35
35 ⑤ Na wana wa Efraimu kwa jamaa zao; wa Shuthela, jamaa ya Washuthela; wa Beredi, jamaa ya Waberedi; wa Tahathi, jamaa ya Watahathi.
1 Mambo ya Nyakati 7 : 25
25 Mwanawe ni Refa, na Reshefu, na mwanawe huyo ni Tela, na mwanawe huyo ni Tahani;
Leave a Reply