Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Sotai
Ezra 2 : 55
55 Wazawa wa watumishi wa Sulemani; wazawa wa Sotai, wazawa wa Soferethi, wazawa wa Peruda;
Nehemia 7 : 57
57 Wazawa wa watumishi wa Sulemani; Wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;
Leave a Reply