Biblia inasema nini kuhusu Soba – Mistari yote ya Biblia kuhusu Soba

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Soba

1 Samweli 14 : 47
47 ① Basi Sauli alipokwisha kuutwaa ufalme juu ya Israeli, alipigana na adui zake wote pande zote, juu ya Moabu, na juu ya wana wa Amoni, na juu ya Edomu, na juu ya wafalme wa Soba, na juu ya Wafilisti; na popote alipogeukia, akawashinda.

2 Samweli 8 : 8
8 Tena toka Tebhathi na toka Berothai, miji ya Hadadezeri, Daudi akatwaa shaba nyingi mno.

2 Samweli 8 : 12
12 za Edomu, na za Moabu, na za wana wa Amoni, na za Wafilisti, na za Amaleki, na za nyara za Hadadezeri, mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba.

1 Wafalme 11 : 24
24 ⑯ naye akakusanya watu, akawa mkuu wa jeshi, hapo Daudi alipowaua hao watu wa Soba; wakaenda Dameski, wakakaa humo, na kumiliki huko Dameski.

1 Mambo ya Nyakati 18 : 9
9 ⑳ Hata aliposikia Tou, mfalme wa Hamathi, ya kuwa Daudi amewapiga jeshi lote la Hadadezeri, mfalme wa Soba,

2 Samweli 10 : 19
19 Na wafalme wote waliomtumikia Hadadezeri walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, walifanya amani na Israeli, wakawatumikia. Basi Washami wakaogopa kuwasaidia Waamoni tena.

1 Mambo ya Nyakati 19 : 19
19 Na watumishi wa Hadadezeri walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, walifanya amani na Daudi, wakamtumikia; wala Washami hawakukubali kuwasaidia wana wa Amoni tena.

Zaburi 60 : 12
12 ⑲ Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.

2 Mambo ya Nyakati 8 : 3
3 Naye Sulemani akaenda Hamath-zoba, akauteka.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *