Biblia inasema nini kuhusu Sisera – Mistari yote ya Biblia kuhusu Sisera

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Sisera

Waamuzi 5 : 31
31 ⑳ Na waangamie vivyo hivyo adui zako wote, Ee BWANA. Bali wao wampendao na wawe kama jua hapo litokapo kwa nguvu zake. Nayo nchi ikastarehe miaka arubaini.

1 Samweli 12 : 9
9 Lakini wakamsahau BWANA, Mungu wao, naye akawauza na kuwatia katika mikono ya Sisera, jemadari wa jeshi la Hazori, na katika mikono ya Wafilisti, na katika mikono ya mfalme wa Moabu, nao wakapigana nao.

Zaburi 83 : 9
9 ⑫ Uwatende kama ulivyowatenda Midiani, Sisera, Na Yabini, penye kijito cha Kishoni.

Ezra 2 : 53
53 wazawa wa Barkosi, wazawa wa Sisera, wazawa wa Tema;

Nehemia 7 : 55
55 wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *