Biblia inasema nini kuhusu Shua – Mistari yote ya Biblia kuhusu Shua

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shua

Mwanzo 38 : 2
2 Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake.

Mwanzo 38 : 12
12 Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao kondoo manyoya huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 3
3 Wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela; ambao hao watatu alizaliwa na binti Shua, Mkanaani. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; naye akamwua.

1 Mambo ya Nyakati 7 : 32
32 Na Heberi akamzaa Yafleti, na Shomeri, na Hothamu, na dada yao, Shua.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *