Biblia inasema nini kuhusu Shitimu – Mistari yote ya Biblia kuhusu Shitimu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shitimu

Hesabu 33 : 49
49 Wakapiga kambi karibu na Yordani, tangu Beth-yeshimothi hata kufikia Abel-shitimu katika nchi tambarare za Moabu.

Hesabu 25 : 1
1 Basi Israeli akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu;

Hesabu 33 : 49
49 Wakapiga kambi karibu na Yordani, tangu Beth-yeshimothi hata kufikia Abel-shitimu katika nchi tambarare za Moabu.

Yoshua 2 : 1
1 Yoshua, mwana wa Nuni, akawatuma watu wawili kutoka Shitimu kwa siri, ili kupeleleza, akawaambia, Nendeni mkaitazame nchi hii, hasa Yeriko. Wakaenda wakafika nyumbani kwa kahaba mmoja jina lake aliitwa Rahabu, wakalala huko.

Yoeli 3 : 18
18 Tena itakuwa siku ile, ya kwamba milima itadondoza divai tamu, na vilima vitatiririka maziwa, na vijito vyote vya Yuda vitatoa maji tele; na chemchemi itatokea katika nyumba ya BWANA, na kulinywesha bonde la Shitimu.

Mika 6 : 5
5 ⑮ Enyi watu wangu, kumbukeni sasa alivyouliza Balaki, mfalme wa Moabu, na alivyojibu Balaamu, mwana wa Beori; kumbukeni yaliyotukia toka Shitimu hadi Gilgali, mpate kuyajua matendo ya haki ya BWANA.

Isaya 41 : 19
19 Nitapanda katika jangwa mwerezi, mshita, mhadasi, na mbono; nitatia katika nyika mberoshi, mtidhari, na mteashuri pamoja;

Kutoka 25 : 10
10 Nao na wafanye sanduku la mti wa mjohoro; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa[28] moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu.

Kutoka 25 : 13
13 Nawe fanya miti mirefu ya mshita na kuifunika dhahabu.

Kutoka 38 : 6
6 Naye akaifanya hiyo miti kwa mti wa mshita na kuifunika shaba.

Kutoka 26 : 37
37 ⑫ Nawe fanya nguzo tano za mti wa mshita kwa kile kisitiri, na kuzifunika dhahabu; kulabu zake zitakuwa za dhahabu; nawe utasubu vitako vya shaba vitano kwa ajili yake.

Kutoka 38 : 1
1 Kisha akafanya hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, ya mti wa mshita urefu wake ulikuwa dhiraa tano, na upana wake ulikuwa dhiraa tano, ilikuwa mraba; na kwenda juu kwake kulikuwa dhiraa tatu.

Kutoka 38 : 6
6 Naye akaifanya hiyo miti kwa mti wa mshita na kuifunika shaba.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *