Biblia inasema nini kuhusu Shimea – Mistari yote ya Biblia kuhusu Shimea

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shimea

1 Mambo ya Nyakati 6 : 30
30 na mwanawe huyo ni Shimea, na mwanawe huyo ni Hagla, na mwanawe huyo ni Asaya.

1 Mambo ya Nyakati 6 : 39
39 Na nduguye Asafu, aliyesimama upande wake wa kulia, huyo Asafu alikuwa mwana wa Berekia, mwana wa Shimea;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *