Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shenir
Kumbukumbu la Torati 3 : 9
9 (na hiyo Hermoni Wasidoni huiita Sirioni, na Waamori huiita Seniri);
1 Mambo ya Nyakati 5 : 23
23 Na wana wa nusu kabila la Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.
Wimbo ulio Bora 4 : 8
8 ① Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni, Pamoja nami toka Lebanoni. Shuka kutoka kilele cha Amana, Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni; Kutoka mapangoni mwa simba, Kutoka milimani mwa chui.
Ezekieli 27 : 5
5 Mbao zako zote wamezifanya kwa misonobari itokayo Seniri; wametwaa mierezi ya Lebanoni ili kukufanyia mlingoti;
Leave a Reply