Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Shalmaneser
2 Wafalme 17 : 6
6 ⑭ Katika mwaka wa tisa wa Hoshea, huyo mfalme wa Ashuru akautwaa Samaria, akawahamisha Israeli mpaka Ashuru, akawaweka katika Hala na Habori, karibu na mto wa Gozani, na katika miji ya Wamedi.
2 Wafalme 18 : 11
11 ④ Mfalme wa Ashuru akawahamisha Israeli mpaka Ashuru, akawaweka katika Hala, na katika Habori, karibu na mto wa Gozani, na katika miji ya Wamedi;
Leave a Reply