Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Serug
Mwanzo 11 : 23
23 Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 26
26 na Serugi, na Nahori, na Tera;
Luka 3 : 35
35 wa Serugi, wa Regau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,
Leave a Reply