Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Seiri
Kumbukumbu la Torati 1 : 2
2 Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka Horebu kwa njia ya mlima wa Seiri mpaka Kadesh-barnea.

Kumbukumbu la Torati 2 : 1
1 ⑥ Ndipo tukageuka, tukashika maisha ya jangwani kwa njia ya Bahari ya Shamu, kama alivyoniambia BWANA; tukaizunguka milima ya Seiri siku nyingi.
Kumbukumbu la Torati 33 : 2
2 ⑬ Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawajia kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani, Akaja Meribath-kadeshi. Upande wa mkono wake wa kulia Palikuwa na sheria ya motomoto kwao.
Mwanzo 14 : 6
6 na Wahori katika mlima wao Seiri, mpaka Elparani iliyo karibu na jangwa.
Mwanzo 36 : 30
30 jumbe Dishoni, jumbe Eseri jumbe Dishani. Hao ndio majumbe waliotoka katika Wahori, kwa habari za majumbe yao, katika nchi ya Seiri.
Kumbukumbu la Torati 2 : 12
12 ⑬ Na Wahori nao walikuwa wakikaa Seiri hapo kale, lakini wazawa wa Esau waliwafuata; wakawaangamiza mbele yao, wakakaa badala yao; kama alivyofanya Israeli nchi ya milki yake aliyopewa na BWANA.)

Kumbukumbu la Torati 2 : 22
22 ⑰ kama vile alivyowafanyia wana wa Esau, waliokaa Seiri, alipowaangamiza Wahori mbele yao; wakawafuata, wakakaa badala yao hadi hivi leo;
Mwanzo 32 : 3
3 ② Basi, Yakobo akapeleka wajumbe mbele yake kwenda kwa Esau nduguye mpaka nchi ya Seiri katika nyika ya Edomu.
Mwanzo 33 : 14
14 Tafadhali bwana wangu na apite mbele ya mtumwa wake; nami nitawaongoza polepole kwa kadiri ya mwendo wa wanyama walio mbele yangu, na kwa kadiri ya mwendo wa watoto, hadi nitakapofika kwa bwana wangu huko Seiri.
Mwanzo 33 : 16
16 Basi Esau akarudi siku ile ile akishika njia yake mpaka Seiri.
Mwanzo 36 : 9
9 Hivi ni vizazi vya Esau, baba ya Edomu katika mlima Seiri.
Hesabu 24 : 18
18 ⑳ Na Edomu itakuwa milki Seiri pia itakuwa milki, waliokuwa adui zake; Israeli watakapotenda kwa ushujaa.
Kumbukumbu la Torati 2 : 5
5 ⑧ msipigane nao; kwa kuwa sitawapa sehemu ya nchi yao kamwe, hata kiasi cha kukanyaga wayo wa mguu; kwa kuwa nimempa Esau milima ya Seiri kuwa milki yake.
Yoshua 11 : 18
18 Yoshua akapiga vita siku nyingi na wafalme hao wote.
Leave a Reply