Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Samgar-Nebo
Yeremia 39 : 3
3 wakuu wote wa mfalme wa Babeli wakaingia, wakaketi katika lango la katikati, yaani, Nergal-Shareza, mnyweshaji, Nebu-Sarseki, mkuu wa matowashi, Nergal-Shareza, mkuu wa wanajimu,[6] pamoja na wakuu wengine wote wa mfalme wa Babeli.
Leave a Reply