Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Samadi
Isaya 25 : 10
10 Kwa maana mkono wa BWANA utatulia katika mlima huu, na Moabu atakanyagwa chini huko aliko, kama vile majani makavu yakanyagwavyo katika maji machafu.
Luka 13 : 8
8 Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;
Luka 14 : 35
35 Haiifai nchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.
Leave a Reply