Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Rogelim
2 Samweli 17 : 27
27 ⑬ Ikawa, Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi, mwana wa Nahashi wa Raba, wa wana wa Amoni, na Makiri, mwana wa Amieli wa Lo-debari, na Barzilai, Mgileadi wa Rogelimu,
2 Samweli 19 : 31
31 ② Tena Barzilai, Mgileadi, akashuka kutoka Rogelimu; akavuka Yordani pamoja na mfalme, amvushe Yordani.
Leave a Reply