Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Reueli
Mwanzo 36 : 4
4 Ada akamzalia Esau Elifazi; na Basemathi alizaa Reueli.
Mwanzo 36 : 10
10 Haya ndiyo majina ya wana wa Esau; Elifazi, mwana wa Ada mkewe Esau. Reueli, mwana wa Basemathi, mkewe Esau.
Mwanzo 36 : 13
13 Na hawa ni wana wa Reueli: Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Mwanzo 36 : 17
17 Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 35
35 Wana wa Esau; Elifazi, na Reueli, na Yeushi, na Yalamu, na Kora.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 37
37 Wana wa Reueli; Nahathi, na Zera, na Shama, na Miza.
Hesabu 2 : 14
14 na kabila la Gadi; na mkuu wa wana wa Gadi atakuwa Eliasafu mwana wa Deueli;
Hesabu 1 : 14
14 Wa Gadi; Eliasafu mwana wa Deueli.
Hesabu 7 : 42
42 Siku ya sita Eliasafu mwana wa Deueli, mkuu wa wana wa Gadi
Hesabu 7 : 47
47 tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng’ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Eliasafu mwana wa Deueli.
Hesabu 10 : 20
20 Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Gadi ni Eliasafu mwana wa Deueli.
1 Mambo ya Nyakati 9 : 8
8 na Ibneya, mwana wa Yerohamu; na Ela, mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu, mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya;
Leave a Reply