Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Rehoboth
Mwanzo 10 : 11
11 Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Mwanzo 36 : 37
37 Akafa Samla, na Shauli wa Rehobothi, ulio karibu na mto, akamiliki badala yake.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 48
48 Samla akafa, naye Shauli, wa Rehobothi karibu na Mto, akatawala badala yake.
Mwanzo 26 : 22
22 ② Akaondoka huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.
Leave a Reply