Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Reaiah
1 Mambo ya Nyakati 4 : 2
2 Na Reaya, mwana wa Shobali, akamzaa Yahathi; na Yahathi akawazaa Ahumai, na Lahadi. Hizo ndizo jamaa za Wasorathi.
1 Mambo ya Nyakati 2 : 52
52 Naye Shobali, babaye Kiriath-Yearimu, alikuwa na wana; Haroe, na nusu ya Wamenuhothi.
Ezra 2 : 47
47 wazawa wa Gideli, wazawa wa Gahari, wazawa wa Reaya;
Nehemia 7 : 50
50 wana wa Reaya, wana wa Resini, wana wa Nekoda;
Leave a Reply