Biblia inasema nini kuhusu rangi nyeupe โ€“ Mistari yote ya Biblia kuhusu rangi nyeupe

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia rangi nyeupe

Ufunuo 19 : 14
14 Na majeshi yaliyo mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe, safi.

Ufunuo 19 : 11
11 Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita.

Mhubiri 9 : 8
8 Mavazi yako na yawe meupe sikuzote; wala kichwa chako kisikose manukato.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *